Header Ads

Al Shabab wavamia Kambi ya jeshi la Kenya Kolbiyow

 MuroTv

Duniani

Al Shabab wavamia Kambi ya jeshi la Kenya Kolbiyow

4Juni 2017
 Hii si mara ya kwanza al shabab wanavamia kambi za jeshi la Kenya
Hii si mara ya kwanza al shabab wanavamia kambi za jeshi la Kenya
Ripoti kutoka kusini mwa somali zinazema kambi ya wanajeshi wa Kenya imevamiwa viungani mwa mji wa Kulbiyow nchini Somalia.
Milipuko kadhaa iliripotiwa kusikika kutoka eneo hilo.
Inaarifiwa kuwa vikosi vya Kenya vimejibu vikali uvamizi huo.
  • Al-Shabab wavamia kambi ya majeshi ya Kenya
  • Jeshi la Kenya lawaua wanamgambo 31 wa al-Shabab
Mapema mwaka huu, maafisa kadhaa wa Kenya waliuwawa na wanamgambo wa Al shabaab waliovamia kambi yao.
 Somalia

                                                          Somalia 
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA; 
Phone: 0768786851
Email:prospermuro690@gmail.com
          : prosperalphonce35@gmail.com
Instagram: muro_tv

No comments:

Powered by Blogger.