Header Ads

Ireland kupata waziri mkuu wa kwanza mpenzi wa jinsia moja

MuroTv

Duniani

Ireland kupata waziri mkuu wa kwanza mpenzi wa jinsia moja

4 Juni 2017
Leo Varadkar anatarajiwa kuwa waziri mkuu nchini Ireland baada ya kushinda uongozi kwa chama cha Fine Gael.
Varadkar mwenye umri wa miaka 38, atakuwa waziri mkuu wa kwanza mpenzi wa jinsia moja na pia waziri mkuu mwenye umri mdogo zaidi kuwaia kuongoza nchi hiyo.
  • Watu 141 wakamatwa sherehe ya wapenzi wa jinsia moja Indonesia
  • Mwanamitindo mwenye jinsia mbili
Bwana Varadkar alimshinbda wazari wa makao Simon Ceveney kwa asilimia 60 ya kura kuongoza chama cha Fine Gael, ambacho ndicho chama kikubwa zaidi katika serikali ya umoja.  Leo Varadkar  
Leo Varadkar akiwapungia mkono wafuasi
Atachukua mahala pa Enda Kenny kama kiongozi wa chama cha kati kulia wiki chache zinazokuja.
  • Wapenzi 3 wa jinsia moja watakiwa kuripoti polisi Tanzania
  • Wapenzi wa Kichina wachumbiana michezoni Rio de Janeiro
Alijulikana kuwa mpenzi wa jinsia moja wakati wa kura ya maoni ya ndoa za jinsia moja mwaka 2015.
 Leo Varadkar
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA; 
Phone: 0768786851
Email:prospermuro690@gmail.com
          : prosperalphonce35@gmail.com
Instagram: muro_tv

No comments:

Powered by Blogger.