50 Cent aiponda Movie ya Tupac ‘All Eyez on Me’, asema hajatendewa haki
MuroTV
50 Cent aiponda Movie ya Tupac ‘All Eyez on Me’, asema hajatendewa haki
Gumzo limeibuka hata kabla ya movie hiyo haijasambaa zaidi Duniani, tayari imekutana na ukosoaji mkubwa ambapo rapper 50 Cent ameshatoa maoni yake kupitia account yake ya Instagram akisema haina ubora tofauti na alivyokuwa mwenyewe Tupac.
“Man I watched the 2 PAC film, that was some bullshit. Catch that shit on a fire stick trust me. LOL SMH TRASH” – 50 Cent.

No comments:
Post a Comment