Header Ads

PICHA 8: MWAKYEMBE AWAPOKEA SERENGETI BOYS LEO

Michezo

PICHA 8: Waziri Mwakyembe amewapokea Serengeti Boys leo

From My Whatsapp Acc sent by Millady Ayo Team
on
Timu ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys imewasili Tanzania leo ikitokea Gabon ilipokuwa inashiriki michuano ya mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U-17).

Serengeti Boys wamewasili Tanzania leo baada ya kutolewa na Niger kwa sheria ya head to head sheria ambayo imetumika baada ya kufungana kwa magoli ya kushinda na kufunga kwa timu hizo, hivyo head to head imeitoa Tanzania.

Leo May 24 Serengeti Boys wamewasili Tanzania na kupokelewa na waziri wa habari, sanaa, utamaduni na Michezo Dk Harrison Mwakyembe.





No comments:

Powered by Blogger.