NAPE AMEMWANDIKIA JPM BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA MCHANGA
Mix
Nape amemwandikia JPM baada ya kupokea ripoti ya mchanga
Baada
ya Kamati Maalum iliyoundwa na Rais Magufuli kumkabidhi ripoti ya
uchunguzi wa mchanga wa madini uliokuwa kwenye makontena 277 yaliyozuiwa
kusafirishwa kwenda nje, Mbunge wa Mtama Nape Nnauye amempongeza JPM
kwa maamuzi yake.
Nape ameandika kwenye twitter yake >>> Hili la Mchanga…! Big Up!<<< – Nape Nnauye.

No comments:
Post a Comment