Header Ads

TANZIA: MUANZILISHI WA ANT-VIRUS YA McAfee AFARIKI DUNIA

23 June 2021

John McAfee

John McAfee amekutwa akiwa amefariki katika chumba kimoja cha Gereza katika Jiji la Barcelona, Uhispania

Umauti umemkuta saa chache baada ya Mahakama Nchini humo kuamua kumsafirisha hadi Marekani ili akashtakiwe kwa makosa ya kukwepa kodi

Taarifa za awali zinaeleza Kuwa Kuna uwezekano wa John McAfee kujiua

No comments:

Powered by Blogger.