Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema Rais anaweza kufanyia vikao vya chama Ikulu kwa sababu ni ofisini na nyumbani kwake "Kila chama kinaruhusiwa kufanyia mikutano yake Ikulu kwa utaratibu wa kuomba kibali kama tulivyofanya sisi" Humphrey Polepole(CCM):
No comments:
Post a Comment