Breaking | Watu 38 wajeruhiwa katika pambano la Polisi na Wananchi
Hali imebadilika ghafla katika viunga vya Catalan baada ya kuzuka kwa ghasia zilizotokana na mapambano ya Polisi na Raia
Raia wa Catalan mapema leo walijitokeza kupiga kura ya maoni itakayoamua iwapo Jimbo hilo lijitoe toka himaya ya Hispania
Hata hivyo mamlaka ya utawala wa Hispania ilisema kuwa kura hiyo haina
uhalali kwakuwa imezuiwa na Mahakama ya Katiba ya nchi hiyo
No comments:
Post a Comment