Bado Siku 23 Uchaguzi wa Marudio Kenya, Alichokisema Uhuru Kenyatta
KENYA: Uhusu Kenyata ametumia ukurasa wake wa Twittwer kuwakumbusha wakenya na Dunia nzima kwa kuweka post inayoonyesha kuwa bado siku 23 wakenya kufanya uchaguzi wa marudio kama ilivyoamriwa na Mahama kurudiwa kwa uchaguzi huo october 23, 2017
Uhuru Kenyata ameandika maneno mawili tu yanayosomeka "Tupo Pamoja" yakiambatana na post inayoonyesha bado siku 23 kufanyika uchaguzi huo.
Tuko Pamoja! pic.twitter.com/JskCKoaBwE— Uhuru Kenyatta (@UKenyatta) October 3, 2017
No comments:
Post a Comment