Diamond Plutnumz avunja rekodi East Africa ndani ya saa 16
Diamond Plutnumz amevunja rekodi ya Alikiba ambaye
alikuwa msanii wa kwanza East Africa kupata views milioni moja kwa saa
chache ikiwa ni masaa 38 tangu video yake "Seduce Me" iachiwe Youtube, Leo Diamond anakuwa msanii wa kwanza Easta Africa baada ya video yake mpya aliyomshirikisha Morgan Heritage "Hallelujah"
kupata views milioni 1 chini ya masaa 20 toka iachiwe YouTube.
#Big up Diamond Plutnumz
#Big up Diamond Plutnumz
No comments:
Post a Comment