Ghasia zimechipuka eneo la Kibera jijini Nairobi baada ya
Uhuru Kenyatta kutawazwa mshindi wa uchaguzi wa 2017. Kando na Kibera,
Mathare, Huruma, Kangemi na Kiamaiko kunashudiwa rabsha huku stima
zikikatwa katika baadhi ya mitaa hii. Kwengineko katika kaunti za
Kisumu, Homabay, Siaya na Migori pia kunashuhudiwa ghasia.
Vurugu zaanza Kenya Usiku wa Kenyatta Kutangazwa Mshindi.
Reviewed by
Unknown
on
August 11, 2017
Rating:
5
No comments:
Post a Comment