Header Ads

HUYU NDIYE MBUNGE ALIECHANWA LIVE NA ROMA MKATOLIKI

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj80hqJV8FA5II2kDTAjWN_8Md0tVHqU3NRBqGwvxfDORNsQEQdKarBF_eEOS5sUtbfKZd3RgxUbEWWdkoVjHmWxeswJeddRID_A3xrBP3pRKsw67H44KLahCDtn1_3pC3EHdPCzKU38vZo/w1200-h630-p-k-no-nu/%255BUNSET%255D
Ally Kessy & Roma Mkatoliki
Kama utakumbuka Roma alivyozungumza kwenye interview ya Clouds 360 ya Clouds TV  May 1, 2017 Roma alisikitishwa na kitendo cha Mbunge wa Nkasi Ally Kessy ambaye alitaja jina lake Bungeni akidai aliimba wimbo kumhusu Rais na kusema alichokisema Mbunge huyo hakikuwa kweli.
“Tena alitaja kabisa jina langu. Lakini ameongea vile kwa sababu yeye ana mahali pa kusemea. Je, mimi nitasemea wapi? Hayo maneno bora angeongea Rais wa Manzese Madee ningejua swahiba wangu ananitania.-Roma Mkatoliki
 
“Mimi ni msanii, mimi ni mfanyabishara. Hivyo lazima kazi ziendelee. Ndio maana hata sasa nimeona nitoke kuhangaika ili tuendelee. Kama tunaweza kusaidiwa, tunaomba mtu yeyote aweze kuona jambo la studio kwa jicho tofauti.” – Roma Mkatoliki.

TUJIKUMBUSHIE KIDOGO YA SUGU KUWANYOOKA ALLY KESSY, MAKONDA NA SIMBA CHAWENE.
Sugu alimshukia Ally Kessy kwa kauli yake ya kusema Roma mkatoliki hakutakiwa aachiwe kisa alimtukana rais, amesema mzee huyo hajui muziki wala wasanii hivyo akae kimya na kumpiga mjungu mengine kuwa ni mvuta bangi
Pia amehoji kama alimtukana rais, Mwakyembe alikaa na mtu aliyemtukana rais mbele ya waandishi wa habari?
Sugu pia alimshukia Makonda kuwatumia wasanii kujitafutia umaarufu na kumuita yeye ni jambazi na 'fraud' na kuwaasa wasanii wa bongo movie waache kutumika na wanasiasa
Simbachawene alikuwa akijaribu kumtetea Makonda ambaye Sugu alimuita Bashite lakini ikashindikana

No comments:

Powered by Blogger.