Exclusive Premiere Tomorrow | Alikiba Kuachia Pini Jipya Kesho 25.08.2017 AlikibaVEVO & Global Music Stores
Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Ommy Dimpoz anaejulikana kwa kibao chake cha Nai Nai amepost picha ya Msanii mwenzake Alikiba na Kuambatanisha na maelezo yanayosema kuwa Kesho tarehe 25 | 08 | 2017 Alikiba ataachia kibao chake kipya na kuwaomba mashabiki zake wasubscribe kwenye Youtube acount ya Alikiba ili waweze kuitazama na kuisikiliza nyimbo hiyo hapo kesho.
- ommydimpoz#SeduceMe Exclusive Premiere Tomorrow 25.08.2017 on AlikibaVEVO & Global Music Stores --- Subscribe now on AlikibaVEVO (link on King's bio) --- #RockstarTV #SHOOOOSH #SonyMusicAfrica #RockStar4000 #KingKiba @officialalikiba
LIKE OUR FACEBOOK PAGE
No comments:
Post a Comment