Header Ads

BREAKING: Idadi ya waliofariki kwenye mafuriko Siera Leone yafikia 300

 
Sierra Leone imeingia kwenye headlines mbalimbali duniani baada ya kuingia kwenye maombolezo makubwa kufuatia maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha kwa siku tatu katika Mji Mkuu wa nchi hiyo, Freetown.
Inaelezwa kuwa zaidi ya watu 300 wamefariki huku wasiwasi ukiongezeka kuwa zaidi ya watu 600 hawajulikani walipo.




No comments:

Powered by Blogger.