Header Ads

BREAKING: TUNDU LISU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU LEO MCHANA


Siku nne baada ya kukamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam na kuwekwa mahabusu Rais wa Chama cha Mawakili na Mbunge CHADEMA, Tundu Lissu leo July 24, 2017 amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya uchochezi.
Tundu Lissu alikamatwa July 20, 2017 akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akielekea Rwanda kwenye mkutano wa Mawakili

Pia Makamand sita (6) wa Chadema wamekamatwa na polisi mchana kituo cha kati huuwakati wakifatilia kukamatwa kwa Mbunge na mwanasheria wa CHADEMA Mh. Tundu Lisu.

No comments:

Powered by Blogger.