SERIKALI ya Nigeria Yaingia Katika Mgogoro Mkubwa na Wasanii…Yaamuru Mr Peter Okoye wa P Square Akamatwe Haraka
Serikali ya Nigeria imeagiza
police kumkamata Peter Okoye “P-Square” baada ya kuwakoromea na
kuwafumua viongozi wa serikali Kwa kuwaita “mad and stupid” baada ya
serikali kutoa azimio la kupiga marufuku wasanii wote wa Filamu na
muziki kushuti kazi zao nje ya Nigeria
Uamuzi ambao umepingwa vikali na asilimia 99% ya wasanii wa nchi hiyo
kwa kusema iweje wao wapiganie tasnia hizo kwa shida kubwa kwa miaka
mingi bila support ya serikali na Sasa serikali hiyo hiyo inakuja kibabe
kupitisha Sheria zisizo rafiki bila hata kuwashirikisha wasanii wenyewe
Sehemu ya andiko la serikali ya Nigeria ikionyesha ubabe flani inasema…..
Sehemu ya andiko la serikali ya Nigeria ikionyesha ubabe flani inasema…..
“We urge the security agencies in the country to arrest Mr Peter Okoye for disrespecting our government and bringing it to a disrepute. If you cannot produce in Nigeria and hire Nigerians, then leave the industry. We must export Nigerian culture to the outside world through our music and videos” .
No comments:
Post a Comment