Walichozungumza Samatta na Ulimwengu kabla ya game ya Lesotho
Kesho Jumamosi ya June 10 2017 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars itaanza kuwania nafasi ya kucheza fainali za mataifa ya Afrika kwa mwaka 2019 nchini Cameroon dhidi ya timu ya taifa ya Lesotho katika uwanja wa AzamComplex Mbande Chamazi.
Taifa Stars ipo Kundi L lenye timu za Uganda, Cape Verde na Lesotho katika harakati za kuwania kufuzu kucheza michuano hiyo ambapo katika historia Tanzania iliwahia kushiriki mara moja tu miaka ya 80, kuelekea mchezo huo tumempata nahodha wa Taifa StarsMbwana Samatta na Thomas Ulimwengu.
“Nafikiri timu imejiandaa vizuri
nimejiunga nayo kwa siku tatu lakini naona wachezaji wana morali nzuri
na wapo na hali nzuri, mechi ya kesho nategemea itakuwa ngumu lakini
timu imejiandaa vizuri ni hatua ya makundi tutajitahidi kushinda mchezo
kwa idadi kubwa ya magoli”>>> Samatta MuroTV na murotv.blogspot.comzipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati. KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;
No comments:
Post a Comment