PICHA 16: Kutoka kwenye Kongamano la Siku ya Mazingira Butiama
MuroTV
Mix
PICHA 16: Kutoka kwenye Kongamano la Siku ya Mazingira Butiama
Kongamano hilo lilihudhuriwa na watu mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali Tanzania wakiongozwa na Waziri mwenye dhamana ya Mazingira January Makamba, Mbunge wa Mtama Nape Nnauye, Mke wa Hayati Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere na Waziri wa Sheria na Katiba Prof. Palamagamba Kabudi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano January Makamba akifafanua jambo

Madaraka Nyerere (wa pili kutoka kushoto) akifuatilia mada kwenye Kongamano la Siku ya Mazingira

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano January Makamba (katikati) akifurahia jambo wakati wa Kongamano

Baadhi ya wawasilishaji wa mada kwenye Kongamano la Mazingira

Washiriki wakifuatilia mada iliyowasilishwa kwenye Kongamano la Mazingira

Mbunge wa Mtama Nape Nnauye (wa kwanza mbele kushoto) akisalimiana na mmoja ya washiriki wa Kongamano la Mazingira

Waziri wa Sheria na Katiba Prof. Palamagamba Kabudi (katikati) akifuatilia kwa makini mjadala kwenye Kongamano la Mazingira

Mmoja wa washiriki wa Kongamano la Mazingira Madaraka Nyerere akichangia hoja

Madaraka
Nyerere (kushoto), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira
na Muungano January Makamba (katikati) na washiriki wengine wa Kongamano
wakijadili jambo

Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano January Makamba
(kushoto) akimsaidia kupanda mti Makamu wa Rais Samia Suluhu (aliyepiga
magoti)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano January Makamba akipanda mti baada ya Kongamano la Mazingira

Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano January Makamba
akiwasilisha mada wakati wa Kongamano la Mazingira

Mama
Maria Nyerere (wa pili kushoto) akifuatilia mada wakati wa Kongamano la
Mazingira. Anayefuata ni Makamu wa Rais Samia Suluhu (wa pili kulia) na
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano January
Makamba (mbali kulia)

Mama Maria Nyerere akichangia mada wakati wa Kongamano la Mazingira

Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano January Makamba
akizungumza na wanafunzi baada ya Kongamano la Mazingira
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;
Phone: 0768786851
Email:prospermuro690@gmail.com
: prosperalphonce35@gmail.com
Instagram: muro_tv
Phone: 0768786851
Email:prospermuro690@gmail.com
: prosperalphonce35@gmail.com
Instagram: muro_tv

No comments:
Post a Comment