Mbowe afunguka kuhusu sauti inayosambaa mtandaoni…ni yake?
Burudani
Mbowe afunguka kuhusu sauti inayosambaa mtandaoni…ni yake?
New Story leo June 5, 2017 ni kuwa Mbowe ameielezea sauti hiyo akisema taarifa hizo anazichukulia kama majitaka: >>>“Mimi nalichukulia kama taarifa za kawaida za maji taka zinasambazwa. Taarifa ambazo zinatengenezwa hazina ukweli wowote ndio kitu ninachoweza kusema kwa sababu siyo za kweli.
“Timu yangu ya mitandao inajaribu kufuatilia kuhusu kundi ambalo limetengeneza kutuchafua kwani tupo kwenye msiba, kwenye maombolezo na ukweli utajulikana tu muda sio mrefu. Sauti siyo ya kwangu. Hapana yule ni kiongozi wa kijamii kwa maana ni mwanachama wetu na kwamba, kama kuna mahusiano sio kweli, ni taarifa za upotoshaji tu.” – Freeman Mbowe
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;

No comments:
Post a Comment