Header Ads

“Haikuwa rahisi, nilimchukua Jux mpaka kwa Bob Manecky” – Mimi Mars

MuroTV

Burudani

“Haikuwa rahisi, nilimchukua Jux mpaka kwa Bob Manecky” – Mimi Mars

Baada ya Shuga mwimbaji Mimi Mars ametuletea wimbo mpya ‘Dedee’ ambao umetayarishwa na Producer Bob Manecky na ameuzungumzia akisema haikuwa rahisi kufanya kazi na Manecky hivyo ilimlazimu amchukue Jux ili amsaidie kwenye wimbo huo.
Mimi Mars ambaye hakusita pia kuzungumzia support anayoipata kutoka kwa watangazaji wenzake akieleza pia connection alizozipata hasa kukutana na ma-producer wakubwa kitu kilichomfanya kuongeza juhudi katika kazi yake ya muziki akiahidi kuendelea kutangaza na kuimba.
MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
Image may contain: text KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA; 
Phone: 0768786851
Email:prospermuro690@gmail.com
          : prosperalphonce35@gmail.com
Instagram: muro_tv
 



No comments:

Powered by Blogger.