PICHA 8: Wachezaji wa England walivyopelekwa kwenye mazoezi ya Jeshi
MuroTV
Mix
PICHA 8: Wachezaji wa England walivyopelekwa kwenye mazoezi ya Jeshi
Story kubwa iliyonifikia leo June 6, 2017 ni hii ya wachezaji wa Timu ya Taifa la England kupelekwa jeshini ambapo unaambiwa wamelekewa kwenye Kambi ya kijeshi kujifunza uzalendo kwa saa 48 wakati wakijiandaa na mechi ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 dhidi ya Scotland Jumamosi ijayo.
Washuhudie kwenye hizi picha saba ujionee namna Gary Cahill, Harry Kane, Dele Alli, Raheem Sterling na wengine walivyopigishwa matizi ya kijeshi…

MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;

No comments:
Post a Comment