Afrika imetajwa kuwa na mji wenye gharama zaidi kuishi duniani (+List)
Kwa
wengi huenda ikawa tofauti kwenye mawazo kwa kuamini kuwa miji yenye
gharama haiwezi kuwepo Afrika. Sasa utafiti uliofanywa na Shirika la
Takwimu za Gharama za Kuishi Duniani (Mercer) umeutaja mji mkuu wa
Angola, Luanda kushika nafasi ya kwanza duniani kati ya miji yenye
gharama kubwa za kuishi.
Afrika pia ina miji miwili yenye
gharama ndogo za kuishi ambayo ni Windhoek wa nchini Namibia pamoja na
Blantyre nchini Malawi. Nimekuwekea hapa chini miji 10 yenye gharama
kubwa za kuishi duniani.
LIST YA MIJI 10 MIKUBWA YENYE GHARAMA KUBWA ZA KUISHI DUNIANI

Muro Tv Ipo Play Store…Download HAPA ,Tuwe tunakutumia habari kwa haraka zaidi,kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba:0768786851, whatsapp:0768786851

No comments:
Post a Comment