Header Ads

UTOAJI WA TUZO ZA VODACOM PREMIER LEGUE 2017

Michezo

PICHA 19: Kutoka kwenye utoaji wa Tuzo za Vodacom Premier League 2017

Usiku wa May 24 2017 zimetolewa tuzo za Vodacom Tanzania Premier Ligi kwa Wachezaji na timu za bongo ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe ambaye alikabidhi zawadi ya mchezaji bora wa ligi 2016 – 2017.
Hizi ni picha 19 za tukio hilo la upewaji wa tuzo kwa timu na wachezaji walioshiriki ligi kuu msimu wa 2016 – 2017 kuanzia red carpet mpaka ugawaji wa Tuzo ambapo unaweza kuzitazama na kujionea ilivyokuwa.

No comments:

Powered by Blogger.