Bad news iliyonifikia leo May 26 kutoka Mwanza ni kuhusu mtu mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Max amemuua mkewe kwa risasi kabla naye kujiua kwa risasi pia wakiwa nyumbani kwao usiku wa kuamkia May 26, 2017.
Ripota wetu atatupa habari kamili baadae..........
MAUAJI: MUME AMUUA MKEWE KWA RISASI KISHA KUJIUA- MWANZA
Reviewed by Unknown
on
May 26, 2017
Rating: 5
No comments:
Post a Comment