DAVID BEKHAM ATUA TANZANIA
Burudani
DAVID BEKHAM ATUA TANZANIA
Kama ni shabiki wa soka hususani la England najua utakuwa unajua jina la David Beckham sio geni katika masikio yako kutokana na jina la staa huyo wa zamani wa England kuvitumikia vilabu vya Man United, Real Madrid na PSG kwa mafanikio.
Beckham leo May 27 kupitia mitandao ya kijamii ameonekana na familia yake wakiwemo watoto wake wote wanne katika video ya pamoja ambayo inadaiwa wameingia Tanzania kimya kimya, mazingira ya video yanadaiwa kuwa ni Airport Tanzania.
Video fupi

No comments:
Post a Comment