Header Ads

BARAKA THE PRINCE AMPONDA BEN POUL BAADA YA KUACHIA WIMBO WAKE MPYA

Burudani

Baraka The Prince amponda Ben Poul

Baada ya Mwimbaji Ben Poul kuachia wimbo wake mpya aliomshirikisha Darassa, wimbo ambao alianza ku-promote ujio wake kwa kupost picha akiwa bila nguo, kumekua na mapokezi ya tofautitofauti kutoka kwa watu mbalimbali kutokana na picha hizo alizozitanguliza.
Baada ya kuusikia wimbo huo, Mwimbaji Baraka The Prince ametumia ukurasa wake wa Instagram kuandika masikitiko yake >>>Nimekuwa disappointed sana huu wimbo… kwa jamaaa alivyojitoa nilidhani ni kitu kikubwa kumbe upumbavu’ #saveourmusic

Wewe pia unaweza kuusikiliza na kupakua wimbo huo mpya wa Ben Pol kupitia  kwenye Link iliyopo kwenye Bio yake ya Instagram  na kuniandikia maoni yako hapa mtu wangu
#Muro Tv

No comments:

Powered by Blogger.