Habari za moja kwa moja, Uchaguzi Kenya
- Uhuru Kenyatta wa Jubilee ana kura 6,574,087 (55.21%)
- Raila Odinga wa ODM kura 5236724 (43.98%)
- Joseph Nyagah (huru) 29163 (0.24%)
- Abduba Dida wa ARK 23318 (0.2%)
- Ekuru Aukot wa Thirdway Alliance 20700 (0.17%)
- Japheth Kaluyu (huru) 8806 (0.07%)
- Cyrus Jirongo wa UDP 8521 (0.07%)
- Michael Wainaina (huru) 6519 (0.05%)
Kinyang'anyiro cha urais kufikia sasa Kenya
Tume ya uchaguzi imetangaza matokeo kutoka kwa vituo 31947 kati ya jumla ya vituo 40883 ambapo:
Ili kushinda, mgombea urais anahitajika kupata zaidi ya asilimia 50 ya kura zilizopigwa, na angalau asilimia 25 katika kaunti 24 kati ya kaunti 47 nchini humo.
Iwapo hakuna mgombea atakayetimiza hilo, basi uchaguzi wa marudio utafanyika katika kipindi cha siku 30.
Habari za moja kwa moja, Uchaguzi Kenya
Reviewed by Unknown
on
August 08, 2017
Rating: 5
No comments:
Post a Comment