Header Ads

Alikiba Ampiga Dongo Lingine Diamond Kwa Kumuita MALKIA WA NGUVU

https://www.dove.rw/wp-content/uploads/2017/04/alikiba.jpg
August 23, 2017 kupitia ukurasa wa Twitter wa mwimbaji wa Bongofleva Alikiba uliandika maneno 13 ikiwa ni ujumbe kwa Diamond baada ya Diamond kumpiga madongo kwenye Remix ya Nyimbo ya Fid Q inayotamba kwa jina la #FRESH.
Alikiba ameandika>>>” The King || always Be a King. je umeshatandika nilale MALKIA wangu wa nguvu?" #KingKiba 

SOMA BAADHI YA COMMENTS ZA MASHABIKI WA WAKALI HAWA WAWILI


No comments:

Powered by Blogger.