Wema Sepetu acharuka baada ya ndugu yake kupigwa na Polisi Mahakamani
Moja ya story ambayo inatrend kwa
sasa kwenye mitandao mbalimbali ni pamoja na issue aliyoiandika
Mwigizaji staa wa Bongomovie na Miss Tanzania 2006 Wema sepetu katika ukurasa wake wa Twitter akizungumzia hali ya mtu aliyedai ni ndugu yake.
Wema ameandika kupitia ukurasa wake wa twitter leo July 28, 2017 akisema:>>>”Ninachojua
mimi ni kwamba Binadamu ana haki ya kwenda mahakamani kusikiliza kesi
ya ndugu yake… Imeniuma sana kilichomtokea kaka angu jana. Only now
nakuja kujua kwamba alichukuliwa na mapolice wakaenda kumpiga mpaka sasa
yupo hospital amelazwa.
No comments:
Post a Comment