Washambuliaji 2 wa London watajwa na polisi
MuroTV
LONDON
Washambuliaji 2 wa London watajwa na polisi
Khuram Butt (kushoto) alikuwa akijulikana kwa polisi na maafisa wa usalama
Polisi nchini
Uingereza imewataja wanaume wawili kati ya watatu waliofanya shambulio
katika London Bridge siku ya Jumamosi na kuwauwa watu saba kabla ya
kuuawa kwa risasi .
Mmoja wao alikuwa Khuram Butt, alikuwa akitambuliwa na huduma za usalama za Uingereza. Kundi la Islamic State lasema lilihusika na shambulio London
Polisi wakamata watu 12 kufuatia shambulizi la London
Aliwahi kuonekana kwenye kipindi cha Televisheni mwaka jana kilichoangazia kundi lenye itikadi kali linalounga mkono Islamic state .
Wote waliokuwa wamekamatwa na polisi kufuatia mauaji hayo wameachiliwa bila mashtaka

Ibada ilifanyika eneo la Potters Field Park karibu na London Bridge.
MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;

No comments:
Post a Comment