TANZIA: MWILI WA ALIEKUWA SHABIKI WA SIMBA ALIEPATA AJALI NA MKUDE WAAGWA LEO
MuroTv
TANZIA
MWILI WA ALIEKUWA SHABIKI WA SIMBA ALIEPATA AJALI NA MKUDE WAAGWA LEO
01 JUNE, 2017

May 28, 2017 siku moja baada ya Simba SC kutwaa Azam Sport Federation Cup ikiifunga Mboa FC mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma, klabu hiyo ilipokea taarifa mbaya ya ajali ya gari iliyokuwa na shabiki wake Shose Fidelis na Nahodha Jonas Mkude.
Shose ambaye ni mmoja kati ya mashabiki wa kike wa Simba SC alipoteza maisha kwenye ajali hiyo ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kutoka Dodoma huku nahodha Jonas Mkude na wengine wakijeruhiwa ambapo mwili wake umeagwa katika Hospitali ya Mwananyamala kabla ya kupelekwa Magomeni kwenye Kanisa la Roma.

Advitisement

kwa matangazo nitafute kupitia;
Phone: 0769786851
Email: prospermuro690@gmail.com
Instagram: murotv
Download MuroTv App kupitia link hii hapo chini;
No comments:
Post a Comment