Ronaldo kushtakiwa kwa kukwepa kodi
MuroTV
MICHEZO
Ronaldo kushtakiwa kwa kukwepa kodi
Christiano Ronaldo akicheza fainali za Champion League
Mamlaka nchini
Uhispania zitamfungulia mashtaka nyota wa Real Madrid, Cristiano
Ronaldo, akishutumiwa kwa kukwepa kulipa kodi kiasi cha doa za
kimarekani milioni 16.5.
Waendesha mashtaka wamedai kuwa kodi ni kuanzia mwaka 2011 mpaka 2014 na inahusu mapato ya nje na uwanja na haki za picha zake Mwezi Desemba, nyaraka zilizovuja zilieleza kuwa Cristiano Ronaldo amekwepa kodi kutokana na kipato chake kuwekwa kuwekwa kwenye akaunti za nje ya hispania
Ronaldo amekana shutuma hizo. Na msemaji wa wakala wa mchezaji huyo alisema mwezi uliopita kuwa mchezaji huyo hakuwa na chochote cha kuficha
FOLLOW NA LIKE PAGE YANGU YA FACEBOOK HAPA CHINI
CLICK HAPA ☛ OPEN
FOLLOW ACCOUNT YANGU YA INSTAGRAM
CLICK HAPA ➼ OPEN
MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;



No comments:
Post a Comment