PICHA 4: Kaburi atakalozikwa Ndesamburo June 6, 2017
Shughuli ya kuuaga mwili wa Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Philemon Ndesamburo zimefanyika leo June 5, 2017 katika Uwanja wa Majengo Moshi ambapo atazikwa June 6, 2017.
MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati
No comments:
Post a Comment