Wanajeshi wakionyesha uwezo wao mbele ya Waziri leo May 26, 20171
Mix
Wanajeshi walivyofanya Mazingaombwe mbele ya Waziri (+Video)
By Prosper Muro

Ulinzi (CDF Cup) umezinduliwa rasmi katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam
ambapo moja ya matukio yaliyovutia katika uzinduzi huo Mazingaombwe…
Jione namna Wanajeshi hao walivyobadili karatasi ikatokea picha ya Waziri wa Habari Dkt. Mwakyembe na mambo mengine…Muro Tv inakuletea video nzima
Bonyeza Play hapa chini kujionea full video..
No comments:
Post a Comment