CHANZO CHA MTOTO KUNYWA MAFUTA
Daktari aeleza chanzo, ugonjwa na hali ya mtoto anayekunywa mafuta
Siku chache zilizopita Shukuru ambaye ni mwanafunzi wa Kidato cha Pili alifikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es salaam kwa ajili ya matibabu kutokana na tatizo hilo.
Leo May 23, 2017 Dokta Stella Rwezaura ambaye anamtibu mtoto Shukuru, amekutana na waandishi wa habari kwa ajili ya kuelezea juu ya ugonjwa wa unaomsumbua mtoto huyo akisema baada ya kumfanyia uchunguzi wamebaini anasumbuliwa na Selimundu ‘sickle cell’.
Aidha, Dkt. Rwezaura ameongeza kuwa kwa sasa mtoto Shukuru ameacha kutumia mafuta ya kula na Sukari na kuanza kutumia uji

No comments:
Post a Comment