BREAKING: MAGUFULI AMTAKA PROF. MUHUNGO IKIBIDI AJIUZULU
BreakingNews
BREAKING: Rais Magufuli amtaka Profesa Muhongo ikibidi ajiuzulu
Baada ya kupewa Ripoti hiyo ambayo imefichua makosa mbalimbali yaliyofanywa, Rais Magufuli mwishoni wakati anamalizia kuonea amemuagiza Waziri wa Nishati na madini Profesa Muhongo kujitafakari na kuchukua hatua na ikibidi ajiuzulu.

No comments:
Post a Comment