BARAKA THE PRINCE HAUKUBALI WIMBO WA BEN POUL
Burudani
Baraka The Prince haukubali wimbo wa Ben Poul.

Miongoni mwa walioupokea kwa hisia tofauti wimbo huo ni pamoja na Mwimbaji Baraka The Prince ambaye ametoa maoni yake akidai amekuwa disappointed sana na wimbo huo wa Ben pol kwa kuwa alidhani kama ungekuwa wimbo mkubwa.
No comments:
Post a Comment