Header Ads

PICHA 7: Manny Pacquiao alivyochapwa na Jeff Horn kwenye Battle of Brisbane


Battle of Brisbane ni pambao la ngumi ambalo liliwakutanisha mabondia Manny Pacquiao ambaye alipanda ulingoni kuzichapa na Jeff Horn na kumalizika kwa Mfilipino huyo kuchapwa kwa pointi.
Jeff Horn alipata ushindi wa pointi ingawa inadaiwa Majaji walifanya upendeleo kwa kumnyima pointi Manny Pacquiao ambaye alirusha ngumi nyingi zilizofika tofauti na mpinzani wake.
Katika pambano hilo Pacquiao alirusha ngumi 573 na zilizofika ni 182 sawa na 32% huku Horn akirusha ngumi 625 na zilizofika ni 92 sawa na 15%. Kwa matokeo hayo sasa Pacquiao ana hiyari ya ama kustaafu au kuendelea na ngumi.






Dondoo za ngumi pambano la Manny Pacquiao vs Jeff Horn

No comments:

Powered by Blogger.