NACTE: TAARIFA KWA VYUO NA WAOMBAJI WA VYUO 2017/2018
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI
(NACTE)
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU ADA YA MAOMBI YA UDAHILI KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018
Baraza linapenda kuvitaarifu Vyuo na Taasisi za Umma
zinazotoa mafunzo yanayosimamiwa na Baraza (NACTE) pamoja na Umma kwa
ujumla kuwa, Serikali imeagiza kuwa Ada ya Maombi ya Udahili (Admission
Fee) inayotakiwa kutozwa kwa mwanafunzi anayeomba Udahili katika
Vyuo/Taasisi za umma kwa mwaka wa masomo 2017/2018 isizidi shilingi Elfu
Kumi (Tsh. 10,000/=) kuanzia sasa.
IMETOLEWA NA:
OFISI YA KATIBU MTENDAJI
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
TAREHE: 28/07/2017
No comments:
Post a Comment