Header Ads

Muigizaji nyota wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt atua nchini

Mbunge wa Manonga / Igunga Seif Khamis Gulamali akimpokea na kumpa sapoti ya safari yake Muigizaji wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt kwenda Mapumzikoni Mbuga za Wanyama Ngorongoro Mkoani Arusha jana tar 17 Jul
 Mbunge wa Manonga / Igunga Seif Khamis Gulamali akimpokea na kumpa sapoti ya safari yake Muigizaji wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt kwenda
Mapumzikoni Mbuga za Wanyama Ngorongoro Mkoani Arusha
Muingizaji wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt akipanda ndege tayari kwa kuruka  kwenda Mapumzikoni Mbuga za Wanyama Ngorongoro Mkoani Arusha jana tar 17 Jully, 2017

No comments:

Powered by Blogger.