Maneno ya Miss TZ 2016 kuhusu Bongo Movie
MuroTV
Burudani
Maneno ya Miss TZ 2016 kuhusu Bongo Movie
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diana ameweka wazi kuwa kuweka nguvu kwenye Kampeni yake ya Dondosha Wembe yenye kutoa elimu kuhusu ukeketaji ndiyo malengo yake hivyo mashabiki wake wasimsubiri kujiunga Bongo movie.
“Niweke hili wazi, malengo yangu yapo kwenye Kampeni yangu ya Dondoshawembe si vinginevyo. Bongo movie Hapana Hapana Hapana. Makala za kuelimisha sawa” – Diana Flave.

MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;

No comments:
Post a Comment