Header Ads

MANENO YA MBASHA BAADA YA KUPOST PICHA YA ALIEKUWA MKEWE, FLORA

MuroTv

fB insta twitter

Maneno ya Mbasha baada ya kupost picha ya aliyekuwa mkewe Flora

Mwimbaji wa Injili Emmanuel Mbasha ambaye alikuwa mume wa zamani wa Florance Henry aliyeolewa hivi karibuni leo June 1, 2017 kwa mara ya kwanza amepost picha ya mke wake huyo zamani kwenye account yake ya Instagram.
Mbasha aliweka picha hiyo kwenye Instagram akimtakia heri katika siku ya kuzaliwa akiandika: “HAPPY BIRTHDAY MRS DAUDI KUSEKWA” – Emmanuel Mbasha.

No comments:

Powered by Blogger.