Kwa maneno haya, ni ishara tosha Harmonize ni Baba kijacho
Harmonize ambaye stori zilizokuwa mitaani ni kwamba baada ya kuachana na mrembo Jackline Wolper sasa hivi yupo na mzungu, aliandika kwenye ukurasa wake wa Instagram
”Mnh! nawaza huu mchanganyiko wa damu ya kimakonde na ya kizungu sijui itatuletea mwana gani… asa nikiona kakomwe hapo, kananistua…Chonde mtoto chukua vyote kwangu ila kwenye rangi jitahidi uibe ya mama yako…..!!! nikavimbe Mtwara ”
Siku ya June 3 Harmonize alipost picha ya msichana mwenye asili ya kizungu na kuandika >>> UJINGA WAKATI WA KWENDA Post iliyoashiria kuwa huyo ni mpenzii wake wa sasa.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;
Phone: 0768786851
Email:prospermuro690@gmail.com
: prosperalphonce35@gmail.com
Instagram: muro_tv

No comments:
Post a Comment