FC Barcelona imetuma ujumbe kwa Real Madrid baada ya ushindi vs Juventus
MuroTv
Michezo
FC Barcelona imetuma ujumbe kwa Real Madrid baada ya ushindi vs Juventus

Hilo linaweza lisiwe kubwa sana lakini linalotajwa kuwa kubwa na linaloleta mkanganyiko kwa mashabiki wa soka ni baada ya FC Barcelona ambao ni mahasimu wakubwa wa Real Madrid kutuma ujumbe wa pongezi kufuatia kutwaa Champions League mjini Cardiff.
FC Barcelona iliandika kwenye account zake mbili za Twitter ambazo huzitumia kwa lugha mbili za Kihispania na Kiingereza: Enhorabuena
Barcelona waliondolewa kwenye mashindano hayo hatua ya robo-fainali na Juventus.
No comments:
Post a Comment