Alichokisema Mama Samia kwenye Kongamano la Mazingira, Butiama
MuroTV
Alichokisema Mama Samia kwenye Kongamano la Mazingira, Butiama
Akizungummza wakati wa Kongamano hilo Makamu wa Rais amesema kuwa kutokana na kaulimbiu ya maadhimisho ya siku ya Mazingira mwaka huu jamii inahimizwa sana kuhifadhi mazingira.
“Kaulimbiu yetu Mwaka huu inasema: Mahusiano endelevu kati ya Binadamu na Mazingira…kaulimbiu hii inatuhimiza Jamii yote kuhifadhi Mazingira kwa kuzingatia uhusiano wa kutegemeana uliopo kati ya maisha ya binadamu na maliasili hususani katika shughuli zetu za kijamii na kiuchumi na mazingira.” – Samia Suluhu.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;

No comments:
Post a Comment