WALICHOANDIKA MASTAA WA BONGO BAADA YA WATANZANIA KUTAJWA NA FORBES
fB insta twitter
MuroTv
Walichoandika mastaa Bongo baada ya
watanzania kutajwa na Forbes

New Story ni kwamba baada ya list hiyo kutangazwa mastaa mbalimbali wa Bongo wakiongozwa na Vanessa Mdee kupitia account zao za mitandao ya kijamii walionesha furaha na kutoa pongezi.
“Siku hizi wanawake wenye malengo hawapewi kipaumbele, nawapa salut Jokate na Lavie,watu watapost vingine visivyo na maana lakini kiukweli hichi ni kitu kikubwa.” – Vanessa Mdee.

“Mpambaji wangu ametajwa na Forbes, Yesu wetu aendelee kukufanya ung’aree, Jokate nakuona pia hongera sana.” – Lulu.

“Woyoooooooooooooo, Nilisema mimi lazima kiba aingizwe humu. Nakua mtabiri sasa ukimuona hapo sema woyo” – Idriss Sultan.

No comments:
Post a Comment